PATA HABARI MOTOMOTO HAPA ZA KITAIFA NA KIJAMII..!!
Thursday, February 14
KIPIMO RAHISI CHA WAPENDANAO SIKU YA "VALENTINE'S DAY".
February 14, 2013
Ukitaka
kujua upendo wa kweli usipokee zawadi ya Valentine day kutoka kwa mpenzi
wako,wewe muombe tu mbadilishane line ya simu hapo ndipo utakavyoona
penzi lenu lilivyo analogy muda wowote linaweza kuzama.
Jaribu kumuomba
mpenzi wako mbadilishane line alafu uniambie jibu alilokupa,ha ha ha ha ha!!!
No comments:
Post a Comment