Kundi
la Mafikizolo la nchini Afrika Kusini likitoa burudani wakati wa
uzinduzi wa show ya Big Brother-The Chase iliyorushwa Live na Channel za
DStv 197 na 198 jijini Johannesburg usiku huu. Shindano la Big
Brother-The Chase limedhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwemo waandishi wa habari kutoka nchin mbalimbali za Afrika kushuhudia Live uzinduzi huo.
Mwakilishi
kutoka Tanzania Nando akihojiwa na Mtangazaji wa kipindi hicho Ik
wakati wa uzinduzi wa show hiyo.Kushoto patna wa Nando Mshiriki kutoka
Namibia Cleo.
Mwakilishi
wa Tanzania Feza Kessy akiwasalimu mashabiki wake kwa kuwapungia
bendera ya Tanzania. Kulia ni mtangazaji wa Shindano la Big Brother The
Chase 2013 Ik.
Mtangazaji
IK akifanya mahojiano na Patna wa Mwakilishi wa Tanzania Mshiriki
kutoka Ghana Elikem wakati wa uzinduzi wa Shindano la Big Brother The
Chase lililozinduliwa rasmi leo jijini Johannesburg Afrika Kusini ambapo
washiriki watakaa ndani ya jumba hilo kwa siku 90 na mshindi
kujinyakulia kitita cha Usd 300,000. Kulia ni Feza Kessy mshiriki
kutoka Tanzania.
Mtangazaji
IK akimtambulisha rasmi mshiriki kutoka Tanzania Feza Kessy kwa Patna
wake Mshiriki kutoka Ghana Elikem wakati wa uzinduzi wa shindano hilo
leo jijini Johannesburg.
Baadhi
ya waandishi wa habari kutoka nchi mbalimbali za Afrika waliopata
mwaliko wa kuhudhuria uzinduzi wa shindano hilo Live kutoka Kampuni ya
Multichoice Africa. Wa pili kulia ni Operations Manager wa Mo Blog
Zainul Mzige aliyeiwakilisha Tanzania.
Kutoka
kushoto ni Mwandishi wa habari kutoka Afrika Kusini Munya, Buhle na
Thato kutoka Ofisi za Multichoice Afrika Kusini wakishow love back stage
wakati wa uzinduzi wa shindano la Big Brother The Chase.
Wageni waalikwa kutoka mataifa mbalimbali mbele ya camera yetu.
Mini Bar iliyondaliwa maalum kwa wageni waalikwa.
Msanii
wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Kenya Stella Mwangi a.k.a STL akitoa
burudani huku akipewa sapoti na Manager wake.Picha na Zeinul Mzige - Mo
Blog
No comments:
Post a Comment