Tuesday, June 4

KUMNYONYA MWANAMKE AU MWANAUME AU KUFANYA MAPENZI MDOMONI HUSABABISHA KANSA YA KOO




Kuna wakati mtu anaweza kuweka hadharani siri yake kwa nia njema ya kuokoa maisha ya watu wengine watokana na ushuhuda wake, na hii ni kwa kuwa watu wengi huwa wagumu wa kubadilika hadi waone mfano hai ama mtu aliyeathirika kutokana na tabia flani akitoa ushahidi. 


Muigizaji mkongwe mwenye umri wa miaka 68 Mmarekani Michael Douglas ameweka wazi kuwa tatizo lake la kansa ya koo lilisababishwa na tabia yake ya kufanya mapenzi  mdomoni(oral  **ex)

Nguli huyo wa filamu alifunguka alipofanyiwa mahojiano na gazeti la The Guardian la marekani ambapo alikanusha tetesi ambazo wengi walikuwa wanaziamini kuwa uvutaji wa sigara na ulevi ndio uliosababisha yeye kupata kansa ya koo.

Alisema ugonjwa alionao umetokana na maambukizi ya virusi vinavyojulikana kama Human papolloma Virus (HPV) ambavyo vinasababisha magonjwa ya zinaa.

Douglas aligundua kuwa na kansa ya koo august 210, na akaanza kufuata matibabu ambapo alipitia hatua nne, lakini pia akapitia matibabu ya kina (intensive course of chemotherapy and radiation), na kufikia january 2011 alikuwa ameweza kwa kiasi kikubwa kupambana na maradhi hayo.

Angalizo:
Tulikuwa  tunasubiri  mfano, na  huu  ni  mfano  hai  unaothibitisha  kuwa  penzi  la  mdomoni  na  kunyonyana  nyeti  zetu  ni  hatari  kiafya  kwa  kuwa  husababisha  kansa ya koo ....

Kuna njia nyingi za kuandaana  kabla ya tendo.Hivyo si  lazima  tukatumia  mdomo

No comments:

Post a Comment

Search This Blog