Monday, February 4

Siasa za vurugu namna hii zitatufikisha kokote?

Siasa za vurugu namna hii zitatufikisha kokote?

Nini kifanyike ili uhasama kati ya vyama upungue na ikiwezekana uishe kabisa?

Picha hii ilichukuliwa jana katika sherehe za CCM huko Dodoma baada ya CCM na CHADEMA kugombea mlingoti wa kutundika bendera...

LIKE it? Then, SHARE it with friends & Tupe maoni yako

No comments:

Post a Comment

Search This Blog