Tuesday, March 12

Mwee! Rihanna wa Tanzania Naye Aamua Kupozi Uchi Kama Rihanna



Guys, nimeikuta hii picha Facebook nasikia huyu dada ni mbongo, na akili zake kabisa na yeye kajipiga picha eti anamfatisha Rihanna, bhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! mbona awaendani!! Shepu kushnehi, DHIWA Tanganyika mwee!! HATARI JAMAN,
guys, kugeza sio vibaya ila muangalie na miili yenu mkikaa uchi mnapendezaa!! hasa dah! hii picha mimi..
I'M SPEECHLESS KWAKWELI
We unaonaje kwani!??

No comments:

Post a Comment

Search This Blog