Nadhani aliliona gauni lake ni zito na ndo maana kaamua kulifunua ili tuione nguo yake ya ndani......
Huko ni kujishushia thamani.Naungana na mtandao wa GPL ulioripoti leo kuwa Wasanii wa bongo wataendelea , KUJAZWA MIMBA.....na kishaKUTELEKEZWA
KUCHEZEWA
Ni mwanaume gani atakaye oa mwanamke asiyejitambua????
No comments:
Post a Comment