Tuesday, June 4

Gari litakalobeba mwili wa Ngwair & ratiba ya kumuaga


gari-mwili-wa-ngwair-mangwea-1
gari-mwili-wa-ngwair-mangwea-2
gari-mwili-wa-ngwair-mangwea
gari-mwili-wa-ngwair-mangwea-0Maandalizi ya mwisho ya kwenda airport kuupokea mwili wa marehemu Albert “Ngwair” Mangwea ambao utaingia leo kwa ndege , na kupelekwa moja kwa moja Muhimbili kwa ajili ya kuifadhiwa. Mwili wa marehemu Mangwair utaletwa katika viwanja vya Leaders Club kesho saa 2, na shughuli za kuaga mwili wamarehemu zitafanyika kuanzia saa 4 mpaka saa 7, na kisha mwili utasafirishwa kwenda morogoro na utalala kwenye nyumba yao na kesho yake siku ya alhamis. Marehemu Albert Mangwea ataagwa tena kabla ya kuzikwa huko Morogoro.

No comments:

Post a Comment

Search This Blog