Monday, June 17

WATANZANIA TUNAELEKEA WAPI-PICHA ZA NASSARI AKIWA HOI BAADA YA KUUMIZWA VIBAYA



Hali si shwari katika uchaguzi mdogo wa Makuyuni, CCM wamevamia vituo vya kura, mawakala wa CHADEMA wamepigwa vibaya sana.

Kamanda Nassari naye kaumizwa vibaya sana. Amelazwa Hospitali ya Waseliani



Jamani watanzania tunaelekea wapi kwa hali hii?

Ee Mungu utusaidie sisi wanao!

No comments:

Post a Comment

Search This Blog