Thursday, February 14

Kanga moko huu ni uchezaji gani jamani? ANGALIA PICHA HIZI HAPA MTU WANGU WA NGUVU




Mmmhhh... uchezaji gani huu jamani? Ndo mambo ya akina 'Khanga Moko Laki Si Pesa, Milioni Moja Paketi Money'
Tobaaa....! Namna hii tutasalimika kweli? Huyu naye ni memba wa walewale akina 'Kitu T' na 'Kanga Moko'
Uuuuwwwiiiii.....mwenzenu nafwa na kiuno hiki... haki ya nani siangalii tena!

Mtazame na huyu... nd'o walewale. Tatizo ni hiyo khanga yenyewe moja, ambayo unaambiwa imeloweshwa kidogo na kuwa ndembendembe! Kwanini wabunge wasihofie upotofu wa maadili?MAMBO YA UMBEA MTUPU BLOG

Ohooo....! Hawa nao wamevaa vizuri katikati ya mwili, lakini chini ni khanga moja ndembendembe na bado wanajibinua kihasara hasara. Ni balaaa tupu!
Apo chachaaaa....! Huu wote ni uchokozi wa akina Khanga Moko


Mama weeee.....! Hii si mitego jamani?

No comments:

Post a Comment

Search This Blog