Thursday, March 7

Tulifanya S*x For Fun Sasa Anataka Kujenga Kiband



Hi wana Udakuz,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)
mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.

Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.

Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.

Kwa wale wataalam wa hiz issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?

No comments:

Post a Comment

Search This Blog