Thursday, March 7

Help:Nimemzimikia Binti wa TV ya CITIZEN- Kenya



Wadau wa Udakuz
Nimekua nikifuatilia matokeo ya Uchaguzi wa Kenya kupitia TV Channel ya CITIZEN.

Kuna huyu binti anaitwa Lulu ananikosesha usingizi jamani. Yaani nkimuangalia tu basi mapigo ya moyo yanaenda kasi sana.

Ananifanya hata nashindwa kwenda kulala ili nibaki namuangalia yeye tu.

Yaani kuanzia shape yake mimi hoi, ukija kimo ndo kabisa natetemeka mwili. Upande wa sauti ndio siongei hata kidogo. Atleast ushungi nao ume-add value.

Midomo yake ni ile iliyobinuka Kwa style flani hivi ya Anjelie Jolie halafu kwenye macho yani akuongezea kula kungu basi nahonga kila nlichonacho. Age yake sijajua bado, but hawezi kua zaidi ya 28.

Wadau, huyu binti anautesa sana mtima wangu, naomba mwenye uwezo wa kupata contacts zake anisaidie please my fellow JF members.

No comments:

Post a Comment

Search This Blog