
Otilia alinaswa juzikati katika Ukumbi wa Meeda kulikokuwa na onesho la bendi hiyo ambapo yeye na mwenzake huyo walinaswa nyuma ya steji wakitomasana na kupigana busu mithili ya mume na mke, hali iliyosababisha mshangao mkubwa

“Mwenzangu mimi ndiyo dada yenu mnapoingia kwenye bendi lazima niwapokee vizuri na nimeshawapokea wengi sana hivi ndiyo ninawakaribisha,” Otilia alisikika akimwambia mnenguaji huyo.
No comments:
Post a Comment