Ni mara nyingi sana watu wamekuwa wakiwapata wapenzi kupitia mtaandao lakini sio wote wanaokuwa na malengo wengine wanatammani tu mtu then wanaanza kusumbua sasa cha msingi akitokea mtu kama huyo usipate taabu kama anakusumbua
Mwambie hivi Baby Naomba nitumie elfu hamsini ninashida nayo pls kuanzia hapa ukimuona huyo mtu ata akilike au coment picha yako ndio mwisho na mwanzo.
Kauli hiyo imetolewa na mdau mkumbwa wa blogu hii Anaitwa MAURINE ambapo alinitumia kupitia Email na nikaamua kumpigia Simu na interview ilikuwa hivi,Kati ya Maurine na James ambae ni mwandishi wa blogu hii.
James:Mambo Maurine Unaongea na James?
Maurine :Safi James Karibu
James:Asante nini hasa kimekufanya ukanitumia njia ya kuachana na mapenzi ambae mmekutana katika mtandao?
Maurine:Unajua James nini kunawatu wanakera sana mtu anaona tu picha yako katika mtandao,hajui wewe umetoka wapi unaenda wapi unamchumba anaanza kukutongoza,kuomba appointment kusumbua kila saa sms za mapenzi,unamwambia kuwa upo in relation ndio hasikii hadi unaona kero kuwa katika mtanado sasa nimegundua Tiba.
James:Unasema umegundua tiba tupe uzeefu wako katika kutibu ili tatazo.
Maurine :James hivyo wakinitongoza nakubali namwambia Lets go akianza tu maneno yake Ya ILOVE U najibu me 2 baada ya wiki moja namwambia my love naomba elfu hamsin ninashida nazo sanaa kuanzia hapo ndio mapenzi yamekwisha hutamuonaaaa TENAAA.
James:Asante sana Maurine nitakutumia coment za marafiki.
Maurine:Nitafurai sana.
Coment yako ni muhimu wewe ambae umesoma makala hii kwani mimi sijui kama ni kweli au lah.
No comments:
Post a Comment