Thursday, May 16

Nimeziona mahali .... KWELI? Ukizipenda kandamiza "Share"!

Sifa tano za mwanaume anayefaa kuwa mume. (husband material)

1. Anamuamini Mungu na anashiriki ibada. (He is a believer)
2. Anatoa. Unapofika wakati ukashindwa kabisa kutimiza mambo yanayohitaji fedha daima atajitahidi kukusaidia. (He is a provider)
3. Anafikiria mambo kwa kina na una uwezo wa kukusaidia kufikiri kutatua matatizo au kufanya maaamuzi mbalimbali. (He is a critical thinker)
4. Anajitoa kwa kila hali. Daima hujituma mara nyingi zaidi kufanya umoja wenu uwe imara. (He is a rock)
5. Anaishi maisha yake. Yuko real na haigizi maisha. Anaishi kadiri ya kipato chake. (He's a free spirit)

No comments:

Post a Comment

Search This Blog