It’s official! Elizabeth ‘Lulu’ Michael sasa ametimiza miaka 18 rasmi. Kilichofuata? Birthday party. Birthday girl mwenyewe Lulu anakwambia “No more questions…no more answers..no more lies…no more drama.” Hii Zifuatazo ni picha za ilivyokua kwenye sherehe hiyo.
Ali Kiba na mama Lulu
Birthday girl Lulu na Ali Kiba
It’s official.
Lulu na Dr. Cheni
Mama akilishwa Keki
No comments:
Post a Comment