Wakati ile movie ya Temptation iliozua Gumzo Jijini iliyowakutanisha tena Msanii wa muziki Diamond na Mcheza Filamu Wa Tanzania Wema Sepetu ambao
waliwahi kuwa wapenzi ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Diamond Na
Wema Week End Hii diamond Amekua na Show Ya kukata na shoka huko Guangzhou huku baadhi ya washabiki wakijiuliza mbona hawamuoni Maddam
Mkumbuke
kuwa Maddam Na Diamond walikutana Hongkong na kwamba tayari Maddam
amesharejea nchini, Labda show hiyo ni muendelezo wa Temptation ambayo location yake kuwa inaonekana kuwa Nje ya Nchi.
Cheki picha za show hiyo:-
Cheki picha za show hiyo:-
No comments:
Post a Comment